Pages

Thursday, February 11, 2016

Na yule by Ruby


Mapenzi hayana mwenyewe
Unaweza penda kijana
Au mzee, eeh!
Niite jina kangu baby
Huenda nafsi yangu itapoa aaahh!!
Shika moyo wangu baby
Unavokwenda mbio wewe
Utapoa, hhaaahh!


Kuna muda
namuomba Mungu angekuleta mapema
ila bado sio mbaya
wewe ndo unayejuwa maumivu yangu
hii baby
ila bado sio mbaya
wewe ndo unayejuwa maumivu yangu
sikula unitoke machoni
tembea name ndoni
ntakuweka moyoni
bila hofu rohoni
moyo wangu tembea na Yule
na Yule ndo nampendaga
macho yangu mtazame Yule
mtazame Yule
namuamini sana


baby sitaki kutazama nyuma tenaa
maumivu nilisha yaona
wengi walinipotezea muda
hakuna nilichokipata
aah hah ah!


Kuna muda
namuomba Mungu angekuleta mapema
ila bado sio mbaya
wewe ndo unayejuwa maumivu yangu
hii baby
ila bado sio mbaya
wewe ndo unayejuwa maumivu yangu
sikula unitoke machoni
tembea name ndoni
ntakuweka moyoni
bila hofu rohoni
moyo wangu tembea na Yule
na Yule ndo nampendaga
macho yangu mtazame Yule
mtazame Yule
namuamini sana


#########################
#########################
#########################
#########################


Kuna muda
namuomba Mungu angekuleta mapema
ila bado sio mbaya
wewe ndo unayejuwa maumivu yangu
hii baby
ila bado sio mbaya
wewe ndo unayejuwa maumivu yangu
sikula unitoke machoni
tembea name ndoni
ntakuweka moyoni
bila hofu rohoni
moyo wangu tembea na Yule
na Yule ndo nampendaga
macho yangu mtazame Yule
mtazame Yule
namuamini sana

No comments:

Post a Comment