Verse: 1
Ninayo hamu kurudi nyumbani
Nyumbani kwetu ambako hatutatengana
hapo nyumbani kwetu hakuna makaburi
Wala hakuna vyandarua maana hakuna maralia
Kwetu pazur ni pazur nakuapia
Najua nawe ndugu yangu unayo hamu kufika huko

(Chorus)
kwetu pazuri nimeshapakumbuka
Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
Kwa amani na furaha tena ya ajabu
Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni*2
kwetu pazuri nimeshapakumbuka
Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
Kwa amani na furaha tena ya ajabu
Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni*2
Verse: 2
Hii dunia imejaa shida kama hujui nenda hospital kaone
Lakin kwetu hakuna fani ya tabibu
Watakatifu watachuma majani ya mti wa uzima wawe na afya
Hawataugua magonjwa tabu tutaziacha zote hapa duniani

(Piano plays)
Verse: 3
Mpendwa njoo turudi nyumbani
Asubui yaja tuyakimbie ya dunia
Atayekosa hapo kwel ni hasara
Aya matatzo ni mitego ya shetan
Hili tushindwe kufika nyumbani kwetu pazur
Lakini kwa jina jina la yesu tumeshinda tunaenda

(Chorus) till fade
Taaarifa fupi;
Taaarifa fupi;
Baadhi ya waimbaji wa kundi hili walifariki kwenye ajali ya gari
Iliyotokea Tinde - Shinyanga vijijini saa mbili usiku wa tarehe 05/09/2011 wakitokea Dar es salaam
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.
0 comments:
Post a Comment