Chorus
greedy, greedy, greedy you
hauna huruma
greedy, greedy, greedy you
niache nikule
greedy, greedy, greedy you
hauna mipaka
greedy, greedy, greedy you
pia mi nishibe
hauna mipaka
greedy, greedy, greedy you
pia mi nishibe
Verse 1 (Kidum)
mbona nalima
lakini sipati kuvuna
napanda
lakini sipati chakula
shamba langu
imekuwa mali yako
mimi na wangu leo
tutakufa na njaa
sina maji
sina mali
waporaji wametoka mbali
ulafi kazidi
hawatujali
mbona nalima
lakini sipati kuvuna
napanda
lakini sipati chakula
shamba langu
imekuwa mali yako
mimi na wangu leo
tutakufa na njaa
sina maji
sina mali
waporaji wametoka mbali
ulafi kazidi
hawatujali
Chorus
greedy, greedy, greedy you
hauna huruma
greedy, greedy, greedy you
niache nikule
greedy, greedy, greedy you
hauna huruma
greedy, greedy, greedy you
niache nikule
greedy, greedy, greedy you
hauna mipaka
greedy, greedy, greedy you
pia mi nishibe
hauna mipaka
greedy, greedy, greedy you
pia mi nishibe
Verse 2 (Nameless)
everyday
my children die
we are languishing in poverty
they say we're rich
but I wonder why
we are the disgraced society
everyday
my children die
we are languishing in poverty
they say we're rich
but I wonder why
we are the disgraced society
(Kidum)
huduma za afya
leo ni za matajiri
kwenda shule
pia ni shida kwetu
hali yako
hali yangu
ulafi kazidi
hawatujali
huduma za afya
leo ni za matajiri
kwenda shule
pia ni shida kwetu
hali yako
hali yangu
ulafi kazidi
hawatujali
Chorus
greedy, greedy, greedy you
hauna huruma
greedy, greedy, greedy you
niache nikule
greedy, greedy, greedy you
hauna huruma
greedy, greedy, greedy you
niache nikule
greedy, greedy, greedy you
hauna mipaka
greedy, greedy, greedy you
pia mi nishibe
hauna mipaka
greedy, greedy, greedy you
pia mi nishibe
Verse 3 (Nameless)
we strive to stay alive
no matter this, we will survive
we strive to visualize
a future that's better we must realise
look up and see the horizon
a vision to give you a reason
to turn this around
coz this our ground
enrich our land for a beautiful season
we strive to stay alive
no matter this, we will survive
we strive to visualize
a future that's better we must realise
look up and see the horizon
a vision to give you a reason
to turn this around
coz this our ground
enrich our land for a beautiful season
(Kidum)
tuna mito, hatuna maji
maji oh
sina mali
waporaji
wamechukua yote
ulafi kazidi
kwa nini
tuna mito, hatuna maji
maji oh
sina mali
waporaji
wamechukua yote
ulafi kazidi
kwa nini
Chorus
greedy, greedy, greedy you
hauna huruma
greedy, greedy, greedy you
niache nikule
greedy, greedy, greedy you
hauna huruma
greedy, greedy, greedy you
niache nikule
greedy, greedy, greedy you
hauna mipaka
greedy, greedy, greedy you
pia mi nishibe
hauna mipaka
greedy, greedy, greedy you
pia mi nishibe
Indirimbo
0 comments:
Post a Comment