Welcome to RIRIMBA Lyrics!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to RIRIMBA Lyrics!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Sunday, October 26, 2014

Mdogo Mdogo By Diamond

{Verse 1}
Nimetembea tembea Bara na visiwani...
ila nikajionea we ndio my Number one..
Natamani nikupe ila sina


nimejaliwa upendo heshima..
Maneno yao matamu yasikuibe mama....
si unajua binadamu wabaya sana...
Wanawivu hao, wachonganishi hao ( ×2)
usije niacha kwa unyonge nachechemea...
Utamu wa finyango na tonge ukanielemea...
Usije niacha kwa Unyonge nachechemea...
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu...
{Chorous}
Mwendaazimu kaingiaje!
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Kitorondo kitorondo eeh)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oooh Kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje!
{Verse 2}
Kidogo nikileta Mumypti usinune..
Nikumbatie unikiss nijivune..
Kesho nizidishe ufanisi nijitumee..
Tujenge hadi nyumba Paris Wanunee....
Vimichezomichezo vya Saloon chunga wakipanga...
Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga...
Ukaanza safari Mchana jua kali, usiku haulali ayaah! ( ×2)
Wanawivu hao, wachonganishi hao ( ×2)
Ukaanza safari, Mchana juakali, Usiku haulali Aah yaya..!
{Chorous}
Mwendaazimu kaingiaje!
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Kitorondo kitorondo eeh)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oooh Kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje! {Bridge}
Mdogomdogo
Mdogomdogo (Usijali mama)
Mdogomdogo (We wacha waongee)
Mdogomdogo (Usiku na mchana)
Mdogomdogo (Mpaka wanyongee)
Mdogomdogo (Na ntakupenda sana)
Mdogomdogo (Mahaba ninyongee)
Mdogomdogo (sijali lawama)
Mdogomdogo (acha wanizonge)
Mdogomdogo (kachirikachiri)
Mdogomdogo (kachiri we ngao yangu)
Mdogomdogo (mwenzako taabani)
Mdogomdogo (nilindie roho yangu)
Mdogomdogo (wasije wa furani)
Mdogomdogo (wakaiba tamu yangu)
{Ending Chrous}
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo) 


0 comments:

Post a Comment

VIDEO Lyrics

RWANDAN Culture And Traditions