Welcome to RIRIMBA Lyrics!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to RIRIMBA Lyrics!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Friday, March 20, 2015

Namba Moja By Kidum

Chorus
nafasi yote moyoni
nimeshaipa kwa Yesu
ni namba moja, moja
moja, moja

nafasi yote moyoni
nimeshaipa kwa Yesu
ni namba moja, moja
moja, moja

Verse 1
nimeshatembea
nimeshazunguka
kila pahali
nikifika kila korna
nimejaribu
kutafuta
kinachoweza
kuridhisha moyo wangu
nikatanga tanga
mashariki
na kusini
ili muundaji nitafute
nikamanga manga
magharibi
kaskazini
kupata kile ninachotaka
wimbo

Chorus
nafasi yote moyoni
nimeshaipa kwa Yesu
ni namba moja, moja
moja, moja

nafasi yote moyoni
nimeshaipa kwa Yesu
ni namba moja, moja
moja, moja

nafasi yote moyoni
nimeshaipa kwa Yesu
ni namba moja, moja
moja, moja

nafasi yote moyoni
nimeshaipa kwa Yesu
ni namba moja, moja
moja, moja

Verse 2
juhudi zangu zote
zilipogonga mwamba
nikafa moyo
nikakata tamaa
ndio bwana
akaja kanigusa
nikasimama
nikaanza kutembea
asante bwana
mwokozi wangu
nimetambua
kama nimekupata
pewa wimbo
pewa sifa
asante Yesu

nimeshatembea
nimeshazunguka
kila pahali
nikifika kila korna
nimetambua
nimekupata
Bwana Yesu
mwokozi wangu
nafasi

Chorus
nafasi yote moyoni
nimeshaipa kwa Yesu
ni namba moja, moja
moja, moja

nafasi yote moyoni
nimeshaipa kwa Yesu
ni namba moja, moja
moja, moja

nafasi yote moyoni
nimeshaipa kwa Yesu
ni namba moja, moja
moja, moja

nafasi yote moyoni
nimeshaipa kwa Yesu
ni namba moja, moja
moja, moja

0 comments:

Post a Comment

VIDEO Lyrics

RWANDAN Culture And Traditions