Welcome to RIRIMBA Lyrics!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to RIRIMBA Lyrics!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Monday, June 1, 2015

Kimbia by Kidumu

Kila mmoja wetu amepewa neema kutoka kwa Mola
Vipaji mbalimbali, katupea Muumba na pia baraka halafu pia kibali
Kila kukikucha sote tunasema asante Mungu, asante Baba
Kukipambazuka, sote twaamka, shughuli mbalimbali, kuna kule ona pale
Majukumu zetu na shughuli zetu na juhudi zetu kwa mkate wa kila siku
Kijana, maisha ni safari inabidi kuongeza kasi kwa mbio zako
Mwenzangu, maisha mapambano, ukiwa na kipaji wacha kuzembea
Mwisho wa siku weka chakula mezani
Kimbia, kimbilia taimu yako
Kimbia, Kimbilia taifa lako
Kimbia, Kamilisha ndoto zako
Kimbia… ooh, Kimbia
Hebu cheki, foleni za magari asubuhi mjini
Dereva wa matatu anavunja sheria kwa kuoverlap
Wanariadha kuruka viuzi na maji kupata medali
Wanasiasa wako mbio mashinani kuuza sera zao; kupata kura
Na sisi wasanii, tunatunga mistari kupata riziki
(Chorus)
Nikiwa mdogo baba yangu kanieleza
Enda shule mtoto upate elimu
Ukiwa na elimu utapata kazi nzuri
Akasahau kunieleza, ukuze kipaji

(..Sax playing..)

(Chorus)

0 comments:

Post a Comment

VIDEO Lyrics

RWANDAN Culture And Traditions