Welcome to RIRIMBA Lyrics!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to RIRIMBA Lyrics!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Wednesday, June 17, 2015

Pamoja na sisi By BAC-T ft TRU-D

[Chorus]
Hii ni kwa wale walio pigana na sisi
Raise your glasses high pamoja na sisi
Toast, to the hard time
Toast , to the good time
Toast, Pamoja na sisi *2

Verse 1 (Bac-T)
Hands up, manzee ukifurahi na mimi
Hands up, mamiee ukifurahi na mimi
Hands up, Hands up, Hands up
Pamoja na sisi
Napenda kuona sura zenye smile
Napenda kuona wote mme furahi
Napenda kuona huyu na Yule
Yule na Yule
wote mko njema mnahali nafuu
mnakula vizuri, mna lala pa zuri
wallet zimetuna
mifuko imejaa noti mna mahela kama ma boss wengine
(Round, round ziendele)
Moja, moja afteeer nyingine na nyingine na nyingine
Tugongeshe glass, Hebu tu toast
Kwa hawa na wale na wenzao na wengine
Toast, toast pamoja na sisi
Na hii nikwa watu wangu wote coast to coast
Najua mna pendaga nini all the most
Toast, toast
Kwa ma fighter wote tulio anza nao gem
Mpaka imefika hapa
Namwaga vimiminika chini kwa wote mlio tu tangulia

[Chorus]
Hii ni kwa wale walio pigana na sisi
Raise your glasses high pamoja na sisi
Toast, to the hard time
Toast , to the good time
Toast ,Pamoja na sisi *2

Verse (True-D)
The whole fam here, Put a taste in your mouth like
they aint, can be, from, around here, kabla ya jasho na damu
namshkuru mum, na labda sija amua ulivyo taka wala kua
nyuma ya desk, ndani ya office, nime tambua am blessed
kwahio na tamaliki, hii sehem, machachari
because we living alright, grab a beer
chokoza shawty, Bambika nikimuona jay p (toast)
ma chic looking glamorous, red wine in her palm n a pose,
whats mine is yours, and whats yours is ours
we love and laugh a lot, (kwa wale walio pigana na si)
shukran kwa mafans wanaoniamini atakama sina benz,
respect the pen timeless the flow cause it knows no end
ma nigga nkubiri (a dedecation) ma nigga o.j (a dedication)
lets celebrate, lets celebrate!!!!!!

[Chorus]
Hii ni kwa wale walio pigana na sisi
Raise your glasses high pamoja na sisi
Toast, to the hard time
Toast , to the good time
Toast ,Pamoja na sisi *2

Bridge (bac-t)
A Round round zi endeleee
Hands up manzee ukifurahi na mimi
Hands up mamiee ukifurahi na mimi
Hands up, Hands up, Hands up

(Tru-d)
Kwa wale walio pigana nasii…Nasii….

[Chorus]
Hii ni kwa wale walio pigana na sisi
Raise your glasses high pamoja na sisi
Toast, to the hard time
Toast , to the good time
Toast ,Pamoja na sisi *2

Outro (bac-t)
Yohh.., yohh.., yohh.., yohhhhh…
Holla kwa wanangu wote tulio kuwa nao kwenye gem
Tulio kuwa nao kwenye shida
tulio kuwa nao kwenye raha
Bigup to your selves my brothers
Mtalii, Revo, Producer JP, Spaxx tha DON, True-D
R.I.P D tha Shocker ahh.,.
Namwaga vimiminika chini kwa wote mlio tutangulia
Mungu awalaze mahali pema peponi wote
Amen.

0 comments:

Post a Comment

VIDEO Lyrics

RWANDAN Culture And Traditions