Welcome to RIRIMBA Lyrics!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to RIRIMBA Lyrics!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Tuesday, September 22, 2015

Sura Yako(Mzuri Mama) By Sauti Sol

[Verse 1]
Nimekuchagua wewe, Nikupende,
I have Chosen you, to Love you
Mama, Sitaki mwingine,
Darling, I don't want another
Aushi usiniache, Usinitende,
Don't abandon me, don't reject me
Mama, Usipende mwingine,
Darling, Don't love Another
Moyo wangu ni mwepesi,
My Heart is light
Umenikalia chapati,
You've bewitched me
Nafanya vituko kama chizi,
Im doing deeds like an insane person
Kukupenda sitasizi,
I will never stop loving you
Moyo wangu ni mwepesi,
My Heart is light
Umenikalia chapati,
You've bewitched me,
Nafanya vituko kama chizi,
I'm doing deeds like an insane person
Kukupenda sitasizi.
I will never stop loving you

[Chorus:]
Sura yako mzuri mama, Aaaah
Your face is so Beautiful, Woman Aaaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Beautiful Woman *3Na tabasamu lako maua, Aaaah,
Your Smile is like a flower.. Aaaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) [x2]
Beautiful Woman *3

[Verse 2]
Itabidi nikulinde, nikutunze,
I guard You, Look After you
Mama, Usikose lolote,
Darling, You shouldn't miss anything
Pete nayo nikuvishe, Nikuoe,
put a ring on your finger, marry you
Mama, Usiende popote,
Darling, don't go anywhere
Juu moyo wangu ushakubali,
My heart has already accepted you
Umenikalia chapati,
You've bewitched me
Nitakulinda kama polisi, Eh!
I will guard you like the Police ..
EhItabidi nikumarry,
I'll have to marry you
Moyo wangu ushakubali,
My heart has already accepted you
Umenikalia chapati,
You've bewitched me
Nitakulinda kama polisi, Eh!
I will guard you like the Police .. Eh
Itabidi nikumarry,
I'll have to marry you
Itabidi nikumarry.
Therefore Marry you

[Chorus]
Sura yako mzuri mama, Aaaah
Your face is so Beautiful, Woman Aaaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Beautiful Woman *3
Na tabasamu lako maua, Aaaah,
Your Smile is like a flower.. Aaaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) [x2]
Beautiful Woman *3

Na figure yako kama ya chupa
na sura yako mzuru mama

[Bridge]
Piga dansi kidogo,
Dance/Shake a little
Piga Da.....Piga Dansi kidogo,
Dance/Shake a little
Dansi kidogo,
Dance/Shake a little
Piga Da.....Piga Dansi kidogo.
Dance/Shake a little
Dansi kidogo,
Dance/Shake a little
Piga Da.....Piga Dansi kidogo.
Dance/Shake a little
Dansi kidogo...........................
Dance/Shake a little

[Chorus 3:]
Sura yako mzuri mama, Aaaah
Your face is so Beautiful, Woman Aaaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Beautiful Woman *3
Na tabasamu lako maua, Aaaah,
Your Smile is like a flower.. Aaaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Beautiful Woman *3
Sura yako mzuri mama, Aaaah
Your face is so Beautiful, Woman Aaaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Beautiful Woman *3
Na tabasamu lako maua, Aaaah,
Your Smile is like a flower.. Aaaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) [x2]
Beautiful Woman *3
Na figure yako kama ya chupa, Aaaah
You Figure is similar to a bottle (hourglass figure), Aaaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Beautiful Woman *3
Na tabasamu lako maua, Aaaah
The smile on your face is like a flower
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Beautiful Woman *3

Ni wewe ni we
Its you, its yoooouuuuuu
Ni wewe ni we
Its you, its yoooouuuuuu
Ni wewe ni we
Its you, its yoooouuuuuu

0 comments:

Post a Comment

VIDEO Lyrics

RWANDAN Culture And Traditions