Welcome to RIRIMBA Lyrics!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to RIRIMBA Lyrics!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Thursday, November 26, 2015

Kwetu By Kidum

Verse 1
vile ninavyoona
vile ninavyohisi
sikai kama mtu
anaficha hisia
huwezi kuficha moto moshi ikitokea
ukificha mapenzi wee unaumia ndani ndani
nashindwa kuelewa
hii ni mwenendo gani
taratibu ni vema lakini isiwe kunirusha inje

Chorus
wacha nikupende mpenzi
wacha nikuhisi ndani ndani
nishike mkononi twende mbali
kwetu (ingawa mbali)
kwetu (huko ni nyumbani)
kwetu, ntakubeba kwetu

Verse 2
taratibu ni vema
lakini kusiwe mwengine
nielezee kwa nini wee una hofu na mimi
nakupenda
I love you,
je t'aime
hakika
tazama
uso wangu
nimekumbwa
na mzozo wa kiumapenzi
natangaza wazi
hadharani
nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona

Chorus
wacha nikupende mpenzi
wacha nikuhisi ndani ndani
nishike mkononi twende mbali
kwetu (ingawa mbali)
kwetu (huko ni nyumbani)
kwetu, ntakubeba kwetu

wacha nikupende mpenzi
wacha nikuhisi ndani ndani
nishike mkononi twende mbali
kwetu (ingawa mbali)
kwetu (huko ni nyumbani)
kwetu, ntakubeba kwetu

natangaza wazi
hadharani
nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona

Chorus
wacha nikupende mpenzi
wacha nikuhisi ndani ndani
nishike mkononi twende mbali
kwetu (ingawa mbali)
kwetu (huko ni nyumbani)
kwetu, ntakubeba kwetu

wacha nikupende mpenzi
wacha nikuhisi ndani ndani
nishike mkononi twende mbali
kwetu (ingawa mbali)
kwetu (huko ni nyumbani)
kwetu, ntakubeba kwetu

0 comments:

Post a Comment

VIDEO Lyrics

RWANDAN Culture And Traditions