Welcome to RIRIMBA Lyrics!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to RIRIMBA Lyrics!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Wednesday, February 24, 2016

Binti Kiziwi By Zanto



Verse 1
Nimpate vipi mi sijui, ninaimani mapenzi hayajuiiihi
Nitapata ugojwa wa moyo, kwa sababu ya mawazo
Ninavyojuwa maisha yake, hajawai kuwa na boyfriend
Ila ni mimi wakwanza naninashindwa kumpata
Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua
Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujua
Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua
Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujua
Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni,ningemtumaaaa
Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika
Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni,ningemtumaaaa
Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika

Chorus
Si siri ninampenda binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake,ye binti kiziwi
Si siri ninampenda binti kiziwi
Kwakuwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwiiii

Verse 2
Nashangaa pale nampomkutaaa, akiwa nawenzake wanaongeaaa
Huwa najiuliza mimi, wanaongea,naye vipiiii
Nashangaa napo muitaa,nahisi huwa anakata
Sijui ndio hasiki, au mapozi, au mapozi naye
Afadhali angejuae kusomae,hatachale kiumbe ningempa
Eti kama ningejuwa isharaaa,basi kwake ningefika mimi
Afadhali angejuwa kusomae,hata mbonge kiumbee ningempa
Etikama ningejua isharaa,mbasi kwake ningefika baby
Chorus
Si siri ninampenda binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake,ye binti kiziwi
Si siri ninampenda binti kiziwi
Kwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwi

Verse 3
Binti kiziwi yuko full yani yuko bombaa
Amenidatisha mnyamwezi nayake figure
Tatizo moja tu ambalo mimi hulinasibu
Kila kukicha hata inikiwaza mimi sipati jibu
Nikimwambia neno i luv you wala halijuwi
Nikimwambie neno i need you halitambui
Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi
Nikimwambia neno i luv you wala halijuwi
Nikimwambie neno i need you halitambui
Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi

Bridge
Hatakusema neno i luv youuu kwake halijui
Hatakusema neno i need youuu kwake halitambui
Hatakusema neno i luv youuu kwake halijui
Hatakusema neno i need youuu kwake halitambui
Baby,baby baby,booo,baby i love you
Ingawa nateseka naye, baby i need you
Baby, baby, booo(uhuu),baby i love you (uhuhu)
Baby (tuhuu) baby, i need you (uhu)

Chorus

0 comments:

Post a Comment

VIDEO Lyrics

RWANDAN Culture And Traditions