Welcome to RIRIMBA Lyrics!

Meet the Author

Ut eleifend tortor aliquet, fringilla nunc non, consectetur magna. Suspendisse potenti.

Looking for something?

Subscribe to RIRIMBA Lyrics!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Monday, March 21, 2016

Salima by Linex ft Diamond Platnumz

Salima, Salima ooh najua maisha yako yaliyumba pale ulipo wapoteza wazazi wako
Yule Salima wa jana sio Salima wa leo amekua wa kujinania na kujikata tamaa
Iko wapi furaha yake aliyo kuwa nayo mwanzo Iko wapi furaha yake aliyo kuwa nayo mwanzo

Salima nakusanze kasuru kagonga wekuye tenga tinyanya salima chenisange nguya yene nasoma nawe mwengee
Salima mi ni sange yule yule nilie soma nawe Mwenge zimeyayuka ndoto zako ulizo kuwa nazo Salima

(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (Ooh Salima) mie nataka niwe wako (ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (ooh Salima) niwe baba wa watoto wako
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (ooh Salima) mie nataka niwe wako (ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (ooh Salima) niwe baba wa watoto wako

Naomba hiyo bahati ya kuishi nawe idondokee kwangu isiende kwa mwingine
Yasije kuwa kama yale ya mla nawe hafi nawe yasije kuwa kama yale ya mla nawe hafi nawe
Usijikatie tamaa kuna wengi wana shida kuliko zako Salima
Wanaamini kupitia yule msemo wa ridhiki hapo mbinguni kwake
Wanaamini kupitia ule msemo wa ridhiki mafungu saba Salima ooh

(Oh Salima )mie mwenzako nakupenda (ooh Salima) mie nataka niwe wako (ooh Salima) tuwe na wana tujependa( ooh salima) niwe baba wa watoto wako
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (ooh Salima) mie nataka niwe wako (ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (ooh Salima ) niwe baba wa watoto wako

Moyo unatamani yani kuwa kitambo ufungue (ufungue)
Usione jinsi gani unavyonifanya niugue eeh zenda huri nana uwawish uwawi nashisee
pamoja kuherera baba utungamizi japo niulimishe
Utamu, utamu wa moyo wangu mi kupendwa nawe
Utamu Salima tatizo mami basi sema nielewe
Ah Salima ooh (oh ayee) Salima eeh (oh ayee) Salima ooh (oh aee) Salima eeh (oooh)

(Oh Salima) mie mwenzako nakupenda (ooh Salima) mie nataka niwe wako (ooh Salima) tuwe na wana tujependa ooh salima niwe baba wa watoto wako
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (ooh Salima )mie nataka niwe wako (ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (ooh Salima)niwe baba wa watoto wako

I feel that I’m in love with you, i feel that my life is you I feel that you’re the only one I need, I’m gonna trust
Baby I’m not perfect but I’m going my all the way and i just want to be with you
Me and you forever and ever
(Oh Salima) mie mwenzako nakupenda (ooh Salima) mie nataka niwe wako (ooh Salima )tuwe na wana tuje penda (ooh Salima) niwe baba wa watoto wako
(Ooh Salima) mie mwenzako nakupenda (ooh Salima) mie nataka niwe wako (ooh Salima) tuwe na wana tuje penda (ooh Salima) niwe baba wa watoto wako
Watoto kedekede, na watoto kedekede shemeji mchange wandese tanisaidia
Salima, Salima, Salima

0 comments:

Post a Comment

VIDEO Lyrics

RWANDAN Culture And Traditions